PLUSBUSINESS & RESEARCH CONSULTPlus Business &Research Consult is a subsidiary of Plus Finance Company Limited dealing withconsultancy on Business and Research related issues. Our mission is to...
Habari, Am Abdul From FINANCE LTD DSM,Am In a Cv Review Meeting For OFFICE ASSISTANT Post Nimeona Ur CV Its Gud, lets do a Deal. Nakusaidia Upate Hii Kazi, Ukipata First Salary Utanipa Laki 3...
wadau kuna nafasi mbalimbali zilitolewa na tume ya utumishi wa mahakama tar.03.05.2013,
mpaka leo kimya, kama kuna mwenye fununu amwage jamvini plz, it has been a long wait
mpaka tunasahau.
Ever asked your self a question where to work abroad apart from your country of origin? The place is one and that is Uganda.
With many UN based organisations looking for expats , you should...
Dear all, Tanzania gentleman looking for job in any organization in Front Office operations, Sales & Marketing, Reservations departments I above 8 years working experience in Hospitality industry...
Nimekutana leo na mkandarasi kutoka nchi za NORDIC ambaye kampuni yake inajenga moja ya barabara nyanda za juu kusini TZ. Anasema wanaibiwa mafuta (diesel),cement na kila kitu kinachoweza...
Kuna nafasi chache za matrons wa shule ya bweni iliyoko maeneo ya airport..mshahara mzuri!
Vigezo;
1.Aweze kuongea kiingereza vizuri sana.
2.Waalimu watapewa kipaumbele...
Monday, July 8th 2013 | By Wachira Kigotho | The Standard
The speed at which colleges in Kenya have been fabricating degrees is worrying.
Currently there are more than 800 degree programmes in...
Habari zenu wana Jf kuna kazi ya kulima bustani maeneo ya kibamba, anahitajika mfanyakazi asie zidi umri wa miaka 20 wakiume mshahara maelewano Anae hitaji ani PM Au wasiliana na mm kwa numba...
Mambo vipi wana Jf,
Kwa mwana hotelia yeyote anayeweza fanya kazi mazingira ya polini bila tatizo ama vikwazo vyovyote anakaribishwa kuomba nafasi ya kazi mbali mbali katika Lodge Serengeti. Kama...
Wakuu sisi tusio na degree inakuwa shida sana kupata ajira. Mimi nina diploma ya utawala na pia ni certified hospitality supervisor. Nimefanya kazi kwenye hotel ya nyota nne kwa miaka saba kw...
Naomba kwa anayewajua Health Gear anifahamishe wapo wapi na wanafanya nini maana wametoa tangazo la kazi wakihitaji PROJECT OFFICERS bila kueleza kwa undani.-
Natanguliza shukurani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.