Ajira Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Ajira Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Brother Kaka

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
90
Reaction score
55
Jamani nimeona tangazo la nafasi za kazi Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia ----------------. Nafasi za assistant lecturers na tutorial assistant. Mara ya mwisho mwaka jana nafasi kama hz zilitangazwa na Tume ya ajira. Sasa hii imetolewa na chuo chenyewe. Anayejua mkanganyiko huu anisaidie maana kama nachanganywa mie. NAWASILISHA
 
Ukishasaidiwa ufanyeje? Sema hilo tangazo limetolewa wapi na lini. Usiwe mbinafsi.
 
Ukishasaidiwa ufanyeje? Sema hilo tangazo limetolewa wapi na lini. Usiwe mbinafsi.

Gazeti la Majira tar 24/06/2013, ukurasa wa 7, pia Zoomtanzania jana iko karibuni sana
 
Back
Top Bottom