Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

hapana si ujinga ndugu,nina maanisha nesha notes board ya makumbusho ya taifa ili upate ilo tangazo kuliko kusubili utumishi watoe
 
hapana si utani ndugu,nina maanisha nesha notes board ya makumbusho ya taifa ili upate ilo tangazo kuliko kusubili utumishi watoe
 
Kweli tangazo Hilo lipo? Embu tuwekee vitu muhimu vya kids ya hapa!
 
posta mpya oppisite na ifm.

next time usirudie hili kosa, JF ni source ya habari haitajiki mtu kufungua post umuelekeze mahali pa kulisomea hilo tangazo, attach picha au utoe taaarifa kamili na si vinginevyo.
 
hapana si ujinga ndugu,nina maanisha nesha notes board ya makumbusho ya taifa ili upate ilo tangazo kuliko kusubili utumishi watoe
Ungemaanisha ungepiga hata picha ya notice board na kuitupia hapa huna lolote ni umbeya unakusumbua tu kujifanya unawahi kuleta uzi hapa na uzi wenyewe ni ujinga mtupu.

Neno alilokupa Heaven on Earth ni sahihi kabisa kwako.
 
Sorry mkuu naomba unipe tofauti ya source ya habari(kama ulivyo sema) na medium of communication na jamii forum iko wapi kati ya hizo mbili.

swali lingine ni kwamba naomba kifungu kinachosema jamii forum haitaki mtu aelekezwe na ni kwanini?

kama sivyo futa kauli!
 
mimi nipo bukoba. utanisaidiaje?. mia
 
Sorry mkuu naomba unipe tofauti ya source ya habari(kama ulivyo sema) na medium of communication na jamii forum iko wapi kati ya hizo mbili.

swali lingine ni kwamba naomba kifungu kinachosema jamii forum haitaki mtu aelekezwe na ni kwanini?

kama sivyo futa kauli!
Acha ukilaza dogo michongo ya kilooser peleka facebook..!!sio kila kitu lazima kiandikwe halafu acha kuleta mambo sio..wapi imeandikwa usilale kitanda kimoja na ndugu yako wa kike vitu vingine ni kujiongeza tu..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom