Internship

Internship

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,072
Reaction score
641
Wakuu habari za kazi? wakuu nimetoka masomoni majuzi Namshukuru Mungu kwa kuwa nami mpaka namaliza. kwa sasa natafuta internship either kwa public or private sector in financial department jamani ninaomba kwa yeyote atakaeweza kunisaidia kwa hili ani Email kwa kasangit@gmail.com natanguliza heshima zangu kwenu.


majukumu mema,:A S-alert1:
 
thank you for your response. i really appreciate it and i value it. STAY COOL ALL MY PEOPLE
 
Kama umemaliza nenda tu kaombe kazi unaweza ukaanza na Bayport financial services,wametangaza nafasi za sales ila ukifanya na ukawa mzuri wanaajiri hawa :clap2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom