Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Wakuu habari za asubuhi ni matumain mko wazima.
Naomba ushauri katika hili.
Kwa miaka mitatu tangu nimalize chuo nafanya kazi katika hospital ya mission moja hapa hapa nchini.
Mwaka huu serikali ilipotoa nafasi za kazi niliomba na kupangiwa kituo ambacho kiko mkoa mmoja ninaofanyia kazi kwa sasa. Wakati huo huo mimi bila kujua hospital hii ya mission iliniombea pia serikalini ili wapewe grant ya salary yangu wakapata. Sasa mimi wakati naendelea na process za kawaida nikagundua kumbe nimeshaingizwa kwenye payroll ya kituo nisichofahamu na baadaye nikagundua kumbe ndo hii hospital imeniombea hii grant na nimeingizwa kwenye payroll. Which means kwenye kituo kipya hawawezi niajili tena other wise ni terminate mkataba na mission.
Dilemma:
je ni terminate mkataba au niache kituo kipya nibaki kwenye grant.
And what is the disadvantages of grant employment with my reading as i am in payroll.
Jamani naomba ushauri coz nashindwa kufanya maamuzi.
Advantage ya hapa nilipo sasa ni kwamba wanatoa nyumba, wapo tayari kunisomesha lakini nikirudi nifanye nao kazi for 6yrs, pia wanatoa top up almost half of my salary now.
Naomba msaada jamani dilemma itanisababishia BP @ mzizimkavu, Jason bourne, Evelyne salt, Dr Mo, King'asti, Lady Doctor, SukariTamu na wanajf wote kwa ujumla wenu wote msaada