L Lyandembela1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Jul 4, 2013 #1 Heshima mbele wakuu, NMB Central Zone walitoa nafasi za kazi na Deadline ilikuwa tarehe 18/06/2013 kwa mwenye update tafadhali
Heshima mbele wakuu, NMB Central Zone walitoa nafasi za kazi na Deadline ilikuwa tarehe 18/06/2013 kwa mwenye update tafadhali
K kichwakipana JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 206 Reaction score 45 Jul 4, 2013 #2 watu walishaitwa kwenye usahili juzi wamemalizia wengine
L Lyandembela1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Jul 4, 2013 Thread starter #3 Ehh amkubwa mkuu aksante kwa taarifa mkuu kichwakipana ngoja tujipange kurudi shambani maake hii ni noma kwelikweli. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ehh amkubwa mkuu aksante kwa taarifa mkuu kichwakipana ngoja tujipange kurudi shambani maake hii ni noma kwelikweli.