Magari toka Japan

Magari toka Japan

nicholas john

Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
27
Reaction score
0
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara najishughulisha na uagizaji wa magari kutoka Japan na ndio lengo la kutuma post hii ili kuweza kukutana na wateja wangu pia.Nachofanya ni kwamba tunakubaliana na mteja kuhusu gari anayohitaji kisha naingia kwenye website na kulitafuta gari hilo kwa price ambayo mteja ametaka na specification zingine,baada ya hapo kuhusu kuagiza na mengineyo ananiachia mimi na baada ya kama mwezi mmoja hilo gari litakuwa limefika na mteja atakuwa akijulishwa kwa maendeleo yote ya ununuzi wa gari hadi kufika kwake hapa.Malipo kwangu kutokana na kumuagizia mteja gari hadi kumkabidhi ni shilingi laki mbili.Kwa yeyote anayehitaji kufahamu zaidi au kuagiziwa gari please asisite kunipm au awasiliane nami kupitia namba 0719974886.Mimi napatikana Kigamboni Dar es salaam,Asanteni.
Nimekuwa nikipigiwa simu na kuulizwa suala la usalama wa hela na uhakika wa jambo lenyewe,ningependa kuwajulisha kuwa kabla hujatoa hela yako ni lazima tuonane na nikupeleke kwenye ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa iliyopo posta ambapo hapo utaelezwa process zote kisha utaamua mwenyewe uingie mkataba nami ili nikuagizie gari kwa dhamana ya ofisi hiyo na nimefanya hivyo makusudi ili kuweka usalama baina yangu na mteja wangu .Magari yanapatikana tena kwa bei rahisi na unaweza kuokoa shilingi milioni 2 hadi tano kwa kuagiza kuliko kununua kwenye yard,kwa kuthibitisha hilo ulizia bei ya gari utakalo kwenye yard kisha nitumie msg kwa namba yangu hapo juu au nipigie simu nikujulishe naweza kukuletea hilo gari kwa shilingi ngapi.
 
Inatia hofu kidogo kwamba kweli mwanafunzi wa Chuo kikubwa kama hicho tena cha mambo ya Fedha nk,Kisha mwanafunzi wake kuwa mfanyabiashara kama hiyo ya mamilioni bila hata ya kuwa na website yake mwenyewe na sio kuwa na link ya mwingine kama dalali ambayo itaeleza namna anavyofanya biashara.

Kama wewe ni mfanyabiashara kwanini usiwe na Yard yako,ili watu waje kuona magari uliyonayo na kama hauna ndio waweke order.

Na Je una Bima ya biashara?watu siku hizi wamekuwa wadadisi sana na lazima ujipange na chellenges hizi.

Au weka wazi,wewe ni mfanyabiashara au Dalali?
 
Nashukuru kwa ushauri wako nitafanyia kazi baadhi ya mapendekezo yako,pia kuhusu website nipo mbioni kufungua.
Kwa sasa nachokifanya ni kuingia mkataba na mteja wangu kisha kazi inaendelea.Ila nashukuru kwa concern yako.
 
Je mteja anatakiwa kulipa kwanza gharama za kuagiza au unaagiza likifika ndipo analipia? Kama analipia kabla security ya pesa yake inakuaje na kunatofauti gani kama mteja ataagiza yeye moja kwa moja? Zingatia kua hauna hata hata ofisi halafu m2 anataka range sports! Mwisho peleka tangazo lako jukwaa husika.
 
Ofisi ipo na inapofikia hatua hiyo ndio maana nikasema tunaingia mkataba,mimi makazi yangu ni kigamboni unapohitaji gari sifanyi kiswahili ila tunaenda moja kwa moja katika ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa ambayo ndio anathibitisha na kudhamini mkataba wetu kwani hapo ndipo nilipoingia napo ubia ili nifanye shughuli zangu bila kumuweka mtu mashakani.Hatukutani mtaani na mtu na kukabidhiana hela na hiyo ofisi inapatikana posta karibu na Hindu mandaar hospital.Kuhusu jukwaa husika hilo jukwaa hailifunguki kwani nadhani unazungumzia business forum,jaribu uone.Pia mteja anatakiwa kulipia gharama za kuagiza kwani ilishatokea nilimuagizia gari mtu kwa hela yangu lakini lilipofika akasema alipata tatizo akazitumia so ilinisumbua katika kuuza kwake.
Kama mteja anaweza kuagiza yeye mwenyewe haina shida kwani nachofanya mimi ni kuwasaidia kwa wale ambao hawawezi fanya hivyo ukizingatia kuna fake website nyingi na watu huwa wanaibiwa kama hawana uzoefu vizuri.
 
Za saa hizi wana jf,samahani kuna jamaa amenipigia simu akihitaji kujua bei za magari kadhaa,sasa kwa bahati mbaya namba yake nimeipoteza kwani nilitoa line kwenye simu yangu na sikuisevu,naomba akiona post hii anitafute tena niweze kumtajia bei alizotaka kujua.Pia email yangu ni nicholasjohn2012@yahoo.com,phone no,0719974886
 
Back
Top Bottom