masters vs experience

masters vs experience

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
119
Reaction score
27
kipi ni bora tunapoelekea miaka ijayo mbele katika soko la ajira.?
 
kipi ni bora tunapoelekea miaka ijayo mbele katika soko la ajira.?

Sio tunapoelekea ni hata sasa hivi mm niliunganisha masters sasa hivi kila kazi naambiwa overqualified.
Bora uwe na experience kuliko kuwa na elimu kubwa haina maana yoyote
 
kipi ni bora tunapoelekea miaka ijayo mbele katika soko la ajira.?

Masters inakuzibia mafanikio kama hauna experience mwenye first degree atapata kazi nawewe mwenye masters utakosa. Kampuni inahitaji results kwahiyo kama kazi yenyewe huijui results utapataje soma kidogo pata experience halafu malizia masters. Siyo leo wala jana hii kitu toka zamani ukipata masters bila experience utapata pressure bure . Unaambiwa masters haifanyi kazi wewe ndio unafanya

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ndo maana unatakiwa kusoma master ukiwa upo kazini hii inasaidia kugain vitu viwili uzoefu na kuongeza elimu
 
Sio tunapoelekea ni hata sasa hivi mm niliunganisha masters sasa hivi kila kazi naambiwa overqualified.
Bora uwe na experience kuliko kuwa na elimu kubwa haina maana yoyote

wadau wangu nimemaliza nao undegraduate then wakaunganisha,,,,naona wanayumba kwakweli,channel hazisomi fresh,ingawa wameutua mzigo ila kuubeba tena imekua mtihan
 
kuwa na masters bila uzoefu wa kazi ni kupaka rangi upepo.
lengo hasa la masters ni kukuandaa kuwa mtawala (manager) na kozi nyingi zimekaa kiutawala kwa sababu hiyo.
sasa inakua ngumu kuajiliwa kama mtawala bila uzoefu na kuajiliwa kama officer unakua overqualified.
 
kipi ni bora tunapoelekea miaka ijayo mbele katika soko la ajira.?
Bachelor ni tam sana ukiwa na experience pamoja na skills mbali mbali,pia kama ukiwa certified ktk fani yako ndo inaongeza utamu,ukiongezea na shrt courses ndo panazii kunoga,saa ukiwa na hivyo vyote ongezea na Masters yako,lkn nina washikaji zangu wana Masters ila tu ka kuwa hawana uzoefu inakuwa ngumu kupata job
 
Sio tunapoelekea ni hata sasa hivi mm niliunganisha masters sasa hivi kila kazi naambiwa overqualified.
Bora uwe na experience kuliko kuwa na elimu kubwa haina maana yoyote

yaelekea huwa unaomba kazi za kulea watoto
 
...ndio maana inatakiwa ukifanya masters uwe na experience walau 2 to 3 years..wana maana yao jamani....
 
Swali zuri...nakumbuka nilipokuwa abroad nafanya 1st degree, tuliwaacha watu wakiunganisha masters...kwanza wamechelewa kuanza maisha na waliporudi huku bongo, wamekula msoto sana tu, na mpaka leo hawajatokelezea, kwakuwa hata ile 1st degree yao mambo mengi wameshayahau na iinterview zinabase sana thru experience, kwahiyo mambo kwao yanazidi kuwa magumu!! Wachache walipata kazi za kufundisha Utumishi!!
 
Sasa kama co upompompo ni nin,wewe utakimbiliaje kusoma masters wakati huna hata cheque number!
 
Hivi mnajua maana ya masters???
Una master kile ulichoexperience in you job. Diploma na bachelor ndo base ya working knowledge.
Masters ni ile inayosharpen your carrier.
Sasa nyie mnaunganisha unafikiri mnakimbizwa. Kimata unataka uwe academician sawa lkn hko kwingine utasubiri sana.
 
Tatizo la hapa Tz, watu wanataka kuifanya Masters kuwa kama 1st degree...

Pia, na huko vyuoni, hao walimu wanaofundisha masters ni weupe kishenzi wanafundisha Masters kama 1st degree, No case study, no real practical issues...

Ukija kwenye course contents ndio majanga kabisa, ziko shalo aibu, mwisho wa siku kiuhalisia unashindwa kutofautisha Masters na 1st Degree...
 
asikudanganye mtu kama una opportunity ya kusoma Masters piga ila kama tayari una kazi siyo mbaya fanya kazi kwanza... Nowdays kuna kazi nyingi zinaitaji watu wa Masters hakuna cha experiense wala nini zile zinaandikwa tu kwenye makaratasi ila watu tumepata kazi na hatukuwai kufanya kazi hadi tumeitimu Masters...tena kwa soko la ajira linavyotaiti ukenda ngazi moja juu unakuwa umepunguza competition vilevile inategemeana na fani husika ukikmbilia MBA umeula wa chuya ila pande za MSc raha tele
 
wakuu kwa soko la ajira la sasa masters ni muhimu kuwa nayo kama added advantage,ninachjua mimi ni kuwa serikari,makampuni binafsi na other goverment agencies huwa wanaspecify minimum qualification kama ni dip,degree or masters so kwa ANAWEZA KUUNGANISHA BINAFSI naona ni better tu kwani anaeajiriwa nia dip au 1st degree ndio anakuwa na uzoefu,kautoa wapi,uzoefu unapatikana makazini otherwise iwe manageril position
 
Back
Top Bottom