Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi nkijana mwnye umri wa miaka 19. ambeye niliye fanikiwa kuitimu elimu ya sekondari 4m IV mwaka 2012. kwabahati sikufanikiwa kuendelea na 4m V ,lakin MUNGU alisaidia nmepata chet cha DV 4 ya 30...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa anayejua mazingira ya kazi ya kampuni hiyo, job security ...n.k tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna link nimekuwa nikizipata kuwa wadau wananiambia nijiunge.! getpaid4visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Lakini kwa kuiangalia inaonekana ni kama aina ya utapeli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu naomba msaada kuhusu hili,nimemaliza kidato cha nne miaka minne ilopita na nikapata daraja la nne pointi 29 Kwa mchepuo wa sanaa.ninahamu kubwa ya kujiendeleza kielimu hasa kupitia chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Guys Kuna company looking for standby accountant ( preferably those fresh from school) who will work intern for three months na kama wakiwa impressed na ww u will get a contract...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau tangu juzi OUT wanaita watu kwa ajili ya interview.Kuna mshikaji wangu hapa ofisini aliomba kuwa T.A wa kiswahili kaitwa aende jtatu . Je wameita kada zote au wanaita kwa awamu?maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana naomba mnihabarishe hospitali za serikali ambazo ni bora (zenye unafuu ktk utoaji huduma) kwa mkoa wa Dar.....kuna rafiki yangu yupo nje ya nchi anahitaji kupata walau kamwanga kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mwenye till ya tigo pesa na anaiuza naomba tuwasiliane maana nahitaji hata leo. Ilimradi iwe nzima na isiwe ya wizi. Kama upo Dar ni vizuri zaidi coz hata mimi nipo Dar tabata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Interview tar 20/10 saaa 2 asubuhi. Kuna mdau mwenye info zaidi ??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam, I got a job interview tomorrow for an academic post. Can you be nice and share tips for prep? See,It's coming after years since I last walked into an interview room. And i desperately...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada wenu hivi usaili wa polisi kwa form 4 na 6 haujaisha bado? na wa graduate kutoka chuo unaanza lini? coz mara ya mwisho wadau walisema tarehe 3 mwezi huu lazima graduate kutoka...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habarini wakuu,naombeni mnisaidie kuweza kujua,Hivi hii kampuni ya Cowi iliyopo maeneo ya morrocco karibu na ubalozi wa marekani inahusika na mambo gani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
We have all been there: we find ourselves in a job that we don’t enjoy; a job that isn't in our career field; a job that leaves us counting down the minutes until we can clock out and go home for...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Anatakiwa binti mwenye umri kati ya miaka 20 mpaka 30; awe anaweza kuzungumza kiswahili fasaha; awe msafi na anayejipenda; asiyekuwa na dalili hata moja kwamba ni muathirika (ukimuangalia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Endapo ni wewe au unamfahamu mtu mwenye uwezo wa kutengenza turubai za kujikinga na mvua kwnye bajaji, niPM, kuna kazi kubwa ya kutengeneza hizo ndude kama mia hivi.....unapoPM, naomba uweke na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni mwalimu wa masomo ya biology na chemistry kwa part time napatikana morogoro mjini na maeneo ya karibu, kwa muhitaji napatikana 0762-323935
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakubwa waliowahi kufanya oral interview ya SALES EXECUTIVE TPB please naombeni mniambie zinakuaje, najua ushauri wenu hautanisaidia mimi tu kwasababu wengi tuliofanya ya written tumeitwa wiki ijayo..
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salama wakuu.....naomba kujua kama kuna mtu ame apply kazi online TRA na kafanikiwa hadi mwisho, me naona anasumbua sana, baadhi ya items ambazo ni compasory ni kama haziko active.....
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Inasemekana candidates walio tuma maombi ya kazi zilizotangazwa na PCCB ni zaidi ya 34,000 katika nafasi zisizo zidi 600.kwa hali hii vigezo kama uzoefu ktk kazi,na kujuana ndivyo vitakavyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.School of Real Estates Studies(SRES) a)Position:Lecturer(1 post) b)Area of Specialization:Phd.in finance Duties:Successful candidate is expected to: -Teach both undergraduate and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom