Wadau
tuna nafasi za wapishi zaidi ya kumi zinatakiwa kujazwa haraka sana kama wewe ni mpishi Sous Chef au Executive Chef au unamjua mtu ambae ana uwezo wa kujaza hizo nafasi ,tafadhali tuma...
Naomba kwa mtu anayefahamu ofisi inayohusika na uwakala wa maxmalipo anielekeze ili niombe kuwa wakala wa maxmalipo. Ajira zenyewe ndio hizo, ni vizuri nijiajiri wenzangu. PIA NAOMBA MSAADA WA...
Wadau...ndio nimetoka kwenye written interview ya TRA pale Duce. Aisee ilikua noumer tupu. Majibu kesho jion saa 10. Maswali magumu sana. Kweli kama ni kazi...sasa ivi tutakua tunazipata kwa neema...
1. 'I Am Just Here for the Money'
In China, it is very common for a lot of employees to work just for the money. This means they will leave if you fail to give them a raise or if their peers...
Wadau tra wametangaza nafasi za kazi
Internal Investigation Officers
Purpose of the Job
To conduct speedy, objective and cost-effecive investigations into allegations of corruption, fraud...
Napenda kutangaza nafasi mbili za uhudumu wa cafe kwa mabinti walioko maeneo ya Tabata Kimanga.
Lengo ni kupunguza gharama za usafiri na kwenda na muda ktk kutekeleza majukumu ya kila siku...
Wadau, TCRA walitangaza nafasi za kazi miezi michache iliyopita vp wameshaita watu kwenye interview? Wenye habari za ndani mtujuze nini kinaendelea right now.
mi ni kijana wa miaka 21 elimu yangu ni form four pia nnaziada ya chet cha pc engeering grade B+ uwezo wa kuendelea na skul sina ila nnauwezo wa kufabya kaz yoyote ya kutumia nguvu (unskilled...
Water works Inspector:
Education: Degree or Diploma in Civil Engineering.
Qualification: Registered Professional or Technician Engineer with preferably 4 years of experience in water supply...
Masonic scholarships; Wadau chekini list ya organizations za kifreemasoni zinazotoa scholarships kwa ajili ya college, kuwa makini wasije WAKAKUTEKA ukatupa imani zako, ha ha haaaaaaa
Freemasons...
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality hybrid seeds. The company is based in Tengeru, Arusha, Tanzania. It has 5 hectares of greenhouses and employs over 200...
Fides Tanzania Limited is a flower cuttings company situated near Tengeru, about 17km from Arusha town.
Fides Tanzania Ltd is currently looking for a strong, enthusiastic, committed and...
VIWANGO VIPYA VYA MISHAHARA YA WATUMISHI WA SERIKALI 2013.HIVI HAPA ~ LEWIS MBONDE BLOG
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.