Muislaam
Senior Member
- Jul 29, 2013
- 129
- 43
Mimi ni dereva, nina lesen daraja D, ninaishi kigamboni-Dar
nilikuwa nahitaji gari. Kwa wenye magari wanaokodisha, au kwa anayewajua wanaokodisha kwa shughuli ndogondogo ili kujiingizia kipato.
Vilevile hatakama kuna mtu analo na alikuwa anataka mtu wa kusaidiana naye.
Hesabu maelewano,
namba yangu 07143O6015.
Msaada wenu wanajamii!