lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari ndugu zangu,
Kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuhusu tarehe ya usaili wa upolisi kwa waliojaza fomu vyuoni tunamuomba atuhabarishe mana mpaka sasa hatujapata taarifa yoyote yenye kuleta matumaini.Shukrani kwa utakaechangia uzi huu na ata wewe ambae utaamua kutoa lugha chafu na zakejeli.