Naomba msaada jamani nini tofauti ya hizi I and II.SIELEWI KIUKWELI NAOMBA KUELWESHWA ipi kubwa au Higher than the other kwa Rank ya kazi(job Position/ hierachy ???? Thanks
kwenye utumishi wa umma muundo wa vyeo ni kama ifuatavyo:
kuanzia cheo cha chini hadi cha juu
Afisa Utumishi daraja la 11
Afisa Utumishi Daraja la 1
Afisa utumishi Mwandamizi
Afisa Utumishi Mkuu daraja la 11
Afisa Utumishi Mkuu Daraja la 1
Huo ni muundo kwenye vyeo vyote vya maofisa kwenye utumishi wa umma hata maafisa tawala ni hivyo hivyoNa maafisa tawala? Mwambie.