Natafuta kazi ya kufundisha, mkoani dodoma.

Natafuta kazi ya kufundisha, mkoani dodoma.

Leiner

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Natafuta kaz hapa DOM ingawa bado niko chuo hapa UDOM namalizia mwaka wa mwisho, nataegemea kuendelea kuishi mkoa huu na familia yangu.
 
Ndugu nenda peleka application yako kwenye shule unazopendelea, ni mara chache sana kujua uhitaji wa walimu katika shule fulani, ila ukienda mwenyewe ndio utafahamu vizuri, andaa copy of your academic results for previous semesters, copy of your ID and application letter, Halafu nenda personally!
 
Back
Top Bottom