Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

ops

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Habari za leo wadau wa jamii forum. jamani natafuta kazi, hata ya kujitolea kwa muda( volunteers) katika taasisi yoyote ile, nimesomea fani ya Rasimali watu (human resources) ngazi ya shahada, pia nina uzoefu katika mauzo na masoko.please naomba msaada kwa yoyoye anayeweza kunisaidia kwa hilo. Mungu awabariki, contact 0713094343, mhassani84@yahoo.com au unaweza pm.
 
!
!
tengeneza cv nzuri ambatanisha na cheti kisha peleka nft consult maeneo ya msasani karibu na kwa mwiny, au peleka my goal hapa moroko hapa kwa mbele kidogo unaweza kubahatika kupata kazi tena nzuri tu
 
Rekebisha heading usipofanya hvyo hii thread watasoma wanaotafuta kazi kama wewe ni si waajiri!
 
badil headline,umenishtua sana. Me nilizan ni tangazo la kazi
 
Habari za leo wadau wa jamii forum, Jamani natafuta kazi, hata ya kujitolea kwa muda (volunteers) katika taasisi yoyote ile nimesomea fani ya Rasimali watu (Human resources) ngazi ya shahada, pia nina uzoefu katika kazi za Mauzo na Masoko, please naomba msaada kwa yoyote anayeweza kunisaidia kupata kazi au hata sehemu ya kujitolea( volunteers).Mungu awabariki. Contact 0713094343, mhassani84@yahoo.com au unaweza kutuma pm.
 
Hapo my goal ni moroko ipi boc moroko ziko mbili
 
Back
Top Bottom