DIRA YA MTANZANIA NEWSPAPER CALLING FOR INTeRVIEW

mgonjwa

mgonjwa

JF-Expert Member
480
225
Wameniita kwenye interview na hawa jamaa wa gazeti la dira ya mtanzania position ni sales
Person .....naomba information kidogo kuhusu hii media wadau nafahamu tu ipo chini ya msama production mzee wa matamasha ya krismasi na pasaka nawakilisha
 
barafu

barafu

JF-Expert Member
6,670
2,000
Jiandae mshahara kupata tarehe 40 ya kila mwezi
 

Forum statistics


Threads
1,424,514

Messages
35,065,584

Members
538,002
Top Bottom