Semina ya ujasiriamali mwanza.

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
114
Points
170

bereng

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
114 170
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA
MWANZA
Napenda kuwafahamisha kwamba CPM
Business Consultants, yenye makao makuu
jijini Dar es salaam, ikishirikiana na
Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza
wataendesha semina ya ujasiriamali, katika
ukumbi wa Victoria Palace. Semina hii
itaendeshwa kwa siku ya 3 kuanzia tarehe
13/12/2013 hadi tarehe 15/12/2013. Kiingilio
kwenye semina hii ni sh 25,000 kwa kila
mshiriki. Mwezeshaji atakuwa ni Charles
Nazi Mshauri wa biashara na mtunzi wa
kitabu cha Mbinu za biashara. Mada
zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1.Maana ya Ujasiriamali
2. Siri ya utajiri
3.Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza
biashara yako.
4. Namna ya kupambana na vikwazo katika
biashara yako.
5. Namna ya kuweka kumbu kumbu za
hesabu za biashara yako.
6. Jinsi ya kuandaa mchanganuo
7.Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watataka kuhudhuria
semina hiyo wapige simu au watume
ujumbe kwenye simu namba 0768955185

www.mshauriwabiashara.weebly.com
 

Forum statistics

Threads 1,392,669
Members 528,664
Posts 34,114,666
Top