Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers

Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa baadhi tu wanasumbua kwa kukiuka mkataba na kuchukua fedha za kazi na kukwepa kulipa, broker anaweza kuwa kampuni au mtu binafsi tafadhali yeyote anayeweza saidia ani - PM
 
Back
Top Bottom