bereng
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 114
- 21
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania Organisation kupitia mradi wake wa WEZESHA MJASIRIAMALI inatoa nafasi za ajira nafasi ya Mratibu wa mradi katika Wilaya za Nyamagana, Ilemela, Kwimba, Magu Misungwi na Sengerema.
WEZESHA MJASIRIAMALI ni mradi unaoratibiwa na taasisi ya Tuwafikie wenye lengo la kuwawezesha vijana, wajasiriamali wadogo walioko mjini na vijijini katika mkoa wa Mwanza kwa kuwapatia mafunzo na kuwasaidia kupata mtaji kiurahisi ili waweze kujikwamua kimaisha.
Kazi itakuwa ni kuratibu shughuli za mradi katika wilaya husika ambayo utaomba.
SIFA YA MWOMBAJI
Awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 40
Awe na nia ya kufanya kazi kama mratibu wa Mradi.
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta na kuwasiliana kwa lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.
Maombi yatumwe kwa Regional director kupitia anwani ya baruapepe tuwafikiemwanza@gmail.com
utajibiwa haraka sana baada ya maombi endapo utakubaliwa na kuanza kazi.
Kumbuka kuandika wilaya unayotaka kufanyia kazi.