Walinzi Walinzi Walinzi:Wanahitajika haraka

LENJENTZ

Member
May 21, 2013
69
0
Wakuu salam,Tunahitaji walinzi ,kama una ndugu jamaa rafiki ambae ana uzoefu na kazi ya ulinzi,mrefu wa futi tano na zaidi,mwenye afya njema tafadhali tuma namba yake ya simu au cv kwa info@lenjen.co.tz
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,429
2,000
mlinzi??
mmasai? mmakonde? security groups like KK ama G4S? bouncer kama wale wa kumbi za starehe? proffessional trained guards like JET LI in the BODYGUARD? mtumiaji wa silaha binafsi....... maelezo zaidi ni muhimu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom