Adexec oil and gas company!

Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,121
2,000
Nawasalimu wana forum.
hawa watu wa Adexec oil and gas company walitoa nafasi 3 za administrative officers niliomba sasa wameniita kwenye kile kinachoitwa interview na workshop,I have to pay 50,000 za accommodation na meals,interview 20th-12-2013.
kuna dalili njema hapa wakuu?mwongozo tafadhali.

updates :
huyu mtu katoa number yake ukimpigia simu he sounds innocent,na hli tangazo limebandikwa katika blog ya issa michuzi 27th-November-2013,mtu mwingine kasema ni matapeli na wana kesi polisi!
ninazidi kufuatilia kuujua mwisho wake.
 

nunu....

Member
Aug 23, 2012
7
0
wezi haoo! venue wapi hawajui kunawatu wanaweza shinda njaa, hiyo interview au training? kwa ufupi ni wasanii aisee.
 

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,039
2,000
oil and gas company hazina upuuzi huo.ukienda kwenye interview wanasimamia show zote kuanzia mwanzo wa interview hadi mwisho wake ila hao wanaotaka ulipe na dhani hiyo company itakuwa ya mh.....kwa wazungu nnaowajua mimi hawawezi kukuambia ulipe.kuna sometimes huwa wanalipa usafiri kutoka sehemu na kukurudisha ulikotoka baada ya zoezi kuisha.Gesi sio chumvi mkuuu
 

karrote

Member
Oct 22, 2013
15
0
Jamani hawa watu hata mi wamenitumia email but nimepiga namba yao wamesema sio lazima kutoa hiyo ela kama una mahali pakufikia,ila kwanini hawana website?atlist ingesaidia kuwasoma vizuri,sijui nifanyeje.wewe mdau unaenda au vipi?nimemwomba bro wangu yupo mtwara anitafutie kama hiyo kapmuni ipo kweli au uongo so nasubiri majibu.kama vipi twende wote nipigie 0715628866
 

karrote

Member
Oct 22, 2013
15
0
kweli hawa watu ni matapeli confirmed.Na wana kesi yao hiyo yakutapeli watu mahakamani wanabadilisha namba za simu tu.so becareful na hao watu.
 

Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
50,000/= duuu!.

Wanakulisha nini isije ikawa ma-burger na ma-pizzer?.

Hiii itakua ni moja ya zile fursaaaa.
 

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Jitahidi usitume hela hiyo kwa mtandao wa simu. kama ni hivyo, nenda ukaone ofisi zao na wapi? kama wanakuzungusha, achana nao.
 

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358
0
Weka picha kamanda wangu!!
banana.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom