Tangazo la kupotelewa na vyeti

Tangazo la kupotelewa na vyeti

Shibandiko

Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Wana jamvi nimepotelewa na vyeti vyangu vifuatavyo, Cheti cha form 4 moshi tech 2004, form 6 Pugu secondary 2007, Institute of Accountancy Arusha (IAA) 2011 pamoja na cheti cha Tanzania Institute of Bankers (TIOB). Jina ni SALVATORY SHIBANDIKO. Kwa yeyote aliyeviona au atakayeviona awasiliane namimi kwa namba 0766015060, zawadi itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa vyeti hivyo,,,
 
Mazingira gani vimepotea ..ulikabwa, umeporwa au ikoje embu dadavu kidogo tujue tunaanzia wapi kukusaidia
 
Nilikuwa safarini dar to mwnz along morogoro kunakibaka alisepa na bag yangu ndogo ambamo ndo kulikuwa na vyeti kk
 
Vibaka wanajuana kaka. Wewe nenda mahala ulipoibiwa hafu tangaza dau. Trust me utapata.
 
pole sana bwana shibandiko, fanya urudi mitaa unayodhani walikuibia then waulize mateja wa hapo.
 
Back
Top Bottom