Ndoto yangu ya kuwa mwanausalama wa taifa iko pale pale.

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,070
2,000
Kuanzia nikiwa sekondari nimeweka moyoni kwangu kuwa ipo siku nitajiunga na usalama wa taifa.sasa ni karibia miaka 15 imepita nikishikiria wazo langu. Ipo siku najua ndoto yangu itatimia.

nawashauri vijana wenzangu unapokuwa wazo lako utakiwa ukate tamaa. Shikilieni mawazo wenu. Msiwe wepesi wa kukata tamaa.
 
KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
Sio peke yako hata mm nina imani labda iko siku. Ingawa ni miaka mingi imepita, nilikuwa na wazo hili zaidi ya miaka 20! Maana siku hizi uzalendo haupo ila kilichobaki ni yaradi nafsi. Ningepata hii nafasi ningeitendea haki.
 
Usijali kaka. Tuko pamoja. Maisha si kukata tamaa.ipo siku Mungu atafungua njia.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,256
2,000
Kila mtu ni usalama wa taifa,ndio maana kova anasisitiza ulinzi shirikishi,mpinga anasisitiza UBU(usalama Barabarani),mwema anasisitiza tii sheria bila shuruti,wote hao wanamtaka mwananchi awe usalama wa taifa! Au wewe unataka uvae kaunda suti na wire kwenye sikio kama muongoza vipindi kwenye TV?
 
EJay

JF-Expert Member
May 21, 2012
694
195
Kuanzia nikiwa sekondari nimeweka moyoni kwangu kuwa ipo siku nitajiunga na usalama wa taifa.sasa ni karibia miaka 15 imepita nikishikiria wazo langu. Ipo siku najua ndoto yangu itatimia.

nawashauri vijana wenzangu unapokuwa wazo lako utakiwa ukate tamaa. Shikilieni mawazo wenu. Msiwe wepesi wa kukata tamaa.

you are speaking because you are out of box,keep it up but you must know that when you are in these security agencies you can't enjoy your "peace of mind" forever
 
aloycious

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
5,883
2,000
you are speaking because you are out of box,keep it up but you must know that when you are in these security agencies you can't enjoy your "peace of mind" forever

Binafsi na hulka ya kuhoji na sipendi shuruti,hivyo kazi katika chombo chochote cha dola na kuajiriwa,si machaguo yangu,nashukuru nimemaliza chuo nimejiajiri na nimeajiri na watanzania wengine.
 
ilisha juniour

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
690
250
Kuanzia nikiwa sekondari nimeweka moyoni kwangu kuwa ipo siku nitajiunga na usalama wa taifa.sasa ni karibia miaka 15 imepita nikishikiria wazo langu. Ipo siku najua ndoto yangu itatimia.

nawashauri vijana wenzangu unapokuwa wazo lako utakiwa ukate tamaa. Shikilieni mawazo wenu. Msiwe wepesi wa kukata tamaa.

sipat picha ulivyokuwa shule nadhan wanafunzi walikukoma kwa unoko,hongera sana kwa kuamua kuwa na nia ya kuwa mng'oa kucha na meno bila ganzi
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,172
2,000
Binafsi na hulka ya kuhoji na sipendi shuruti,hivyo kazi katika chombo chochote cha dola na kuajiriwa,si machaguo yangu,nashukuru nimemaliza chuo nimejiajiri na nimeajiri na watanzania wengine.

Hujaulizwa Kama Sasa Hivi Unafanya Nini na Wewe ni Nani na Umeajiri akina Nani! Sifa na Ufahari wa Kijinga. Kubwa Zima Hovyo! Kama Kapuku na Ngumbaru Wewe Unajisifia Umeajiri Watu Je Akina Bakhresa, Mengi na Wengineo Wasemeje? Ndiyo Tatizo La Mtanzania Zikimtembelea tu Kidogo!! Umeniudhi na Nahisi Wewe Utakuwa ni Mtani Wangu Mkubwa MHAYA.
 
peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,582
1,225
you are speaking because you are out of box,keep it up but you must know that when you are in these security agencies you can't enjoy your "peace of mind" forever

anataka kuingia ndani ya nyumba kabla ya kujua huko ndani kuna nini.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Ndugu ndiyo Usalama wa Taifa? Hebu Heshimuni basi hiyo Taasisi Kwani Furaha Yako Ya Amani na Uhakika wa Ulinzi wa Nchi Yako hii Unategemea Mno Uwajibikaji na Ufanisi Wao.

Hawa nao walishaacha njia longi. Wangewajibika ipasavyo tusingefika hapa tulipo. Kwa hiyo ukisikia watu wanasema wache waseme.
 
Wandugu Masanja

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
1,535
1,225
nauliza tu
Nini lengo lako la kuwa usalama wa Taifa? wale waliopo hawajui kazi? unataka sifa mtaani kuwa wewe ni usalama wa Taifa? mshahara mnono? au kutumia nembo na kazi ya usalama wa Taifa ili uogopwe mtaani?
nina masuala mengi ambayo sipati picha ya majibu
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,138
2,000
Kwanza hufai kuwa usalama wa taifa kwa hii thread yako nilivyosoma
katika jeshi lolote lile nidhamu ndio ngao mengine ni kama vitu vya kawaida kwa nini uje jf kuongea na usipopata hii kazi utaanza kulalamika tu na inavyoonekana unapenda sifa sana ndio maana unakuja kuosha jina
USHAURI: usiwaze kazi moja ukipata kazi yoyote ile fanya na usitegemee kuajiliwa kama unamtaji jiajiri kijana na usiseme kuwa huko kuna mshahara mnono mno hamna ni kawaida tu kama sehemu zingine japo nahisi tu mbona sisi tumejiajiri tu na maisha yanasonga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom