Interview sua morogoro

Sonji

Member
Nov 22, 2013
9
0
Msaada jamani leo mida ya saa sita mchana nimepigiwa simu kutoka SUA MORO kuwa nahitajika kwenye usahili tarehe 30-31 je kuna yeyote mwenye taarifa kamili? Isije ikawa ni matapeli.
 

Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
0
Naomba weka hapa namba ya simu waliyotumia kukupigia then I will let u know! I have a relative there...
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,390
2,000
Kwenye web yao niliona tangazo la kuita watu ebu jaribu kuingia kule
 

Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
0
Ndugu walioitwa sua ni wale walioomba Academic staff posts, wale wengine bado hawajaitwa, namba ya simu ni kweli ya SUA. SO kam hutojali na kama upo karibu unaweza kwenda but kama una mashaka sana ni vizuri ukawapigia simu na kupata uhakika! kila la kheri ndugu yangu
 

Sonji

Member
Nov 22, 2013
9
0
Ahsante. Lkn nipo mbal hila tapiga simu kesho kujua zaidi maana hyo nafasi nimekumbuka nilituma maombi siku nyingi sana.
 

mlingwaandrew

Member
Feb 23, 2012
6
20
Nami pia nilipigiwa simu kama mwezi mmoja umepita nikakutana nao DOM nikapiga interview na sasa nasubiri kinachoendelea. Mi mwenyewe mwanzo nilikuwa na wasi kama ilivyo kwako sasa, maana nilisahau kuwa nilituma maombi utumishi since 2009 eti naitwa kwenye interview October 2013 ila ni kweli ni interview. So nakushauri nenda kapige interview.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,468
2,000
Washa confirm namba wakuu. Nenda tu. Hivi unadhani ukiwapigia watajua wewe ni nani? Mmeomba watu kibao na wamewapigia watu kibao so watajuaje wewe ni who? Na ukipiga atapokea nani? Kwanza usikute cm yenyewe ya mezani ata kioo cha kuonesha namba haina.

Ni vema ukienda tu. Swala la gharama ndio sehemu ya mihangaiko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom