Job Title:
Operations Trainee
Report To:
Senior Zone Operations Officer Grade I
Duties and Responsibilities:
1. Assist in recruitment of new members 2. Assist in making follow up of delaying...
Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali za kazi katika wizara ya afya na ustawi wa jamii (kada za afya),majina na vituo vya kazi yametolewa kwenye tovuti ya wizara hiyo ambayo ni www.moh.go.tz
Organization: Wewe mwenyewe
Position: Managing director - Mtendaji Mkuu
Mshahara: Upo katika kiwango cha kiushindani na kitatolewa katika ngazi ya upiganaji wako
Majukumu- Position...
Deadline yao ni tarehe 27/02/2014. Kutakana na kufatilia cheti cha la 7, nikawa nimechelewa na leo ndo nimepeleka posta maombi yangu. Na posta tawi ambalo mimi nimepeleka barua wameniambia barua...
Habari.
Jana nilenda shule ambapo nilimalizia elimu yangu ya msingi kuchukua cheti changu, nikaambiwa ili nikipate lazima nitoe kiasi cha sh 5000.
Je hiyo ndo bei yake au vinatolewa bure?
Jamani nasikia huwezi kupata hizo schoolarship za China mpaka uanze kulipa mkopo wa board ya mkopo. Naomba mwenye info za hizo process za kuanza kulipa anijuze na unaanza kulipa Tsh ngapi? Na...
Habar zenu.
Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani.
Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu.
Ushauri pls
Nahitaji ushauri wa ki HR otherwise kazi hii ya kuajiliwa inakaribia kunishinda.
Mimi ni mwajiliwa wa kampuni moja hapa mjini kwa kipindi cha miaka miwili, wakati niliposaini makataba working...
Salaam wadau wote wa JF
Wanatafutwa watu mwenye elimu na uwezo wa ujasiria mali kwa ajili ya kufundisha wananchi shughuli mbalimbali za uzalishaji na biashara ndogo ndogo kupitia NGO moja iliyopo...
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.
NINI UMUHMU WAKE...
Position: Graduate Trainee Program 2014
Company: Puma Energy Tanzania
Phone:
Email:
Location: Dar es Salaam Tanzania
Deadline: 28-February-2014
Description:
PUMA Energy Tanzania is a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.