super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Organization: Wewe mwenyewe
Position: Managing director - Mtendaji Mkuu
Mshahara: Upo katika kiwango cha kiushindani na kitatolewa katika ngazi ya upiganaji wako
Majukumu- Position responsibilities
- Kuwa na utamaduni wa kuweka akiba hata kile kidogo kabisa ukipatacho kwa kupanga budget ya matumizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama michango ya harusi, kuhonga na mengineyo uyajuayo wewe kwamba ni extravagancy, "usijipendelee hapa".
- Kufikiria cha kufanya (uwekezaji) kwa hata kidogo ukipatacho
- Kujituma na kuwa na utamaduni wa kuchapakazi, driven by uelewa kwamba the more you fight, the more the cashflow into the pocket.
- Kuwa na wivu wa kimaendeleo kwa wale walioendelea tayari, kuwatumia kama role models, kuwaiga na kujikaza na kufanya zaidi ya role models wako
- Kila uamkapo kuwaza jipya, kuwa na to-do list yenye kujiletea maendeleo, na ifikapo jioni kufanya evaluation ya to-do list yako, kujisuta pale ambapo mengi kwenye list yako hujayatimiza siku hiyo na kujipanga kwa to - do list ya kesho. (To-do list iwe realistic, not too or less ambitious)
- Kuachana/kukaa mbali na "kampani" potovu.
- Kuwaza lolote ambalo halijaambatanishwa hapa ambalo litakupeleka kule utakapokuwa umekulenga.
- Ever keep the fire burning, never lose hope, never get down, start NOW
- Lastly but not least, kuwa mtu mwema kulingana na dini yako, kumtanguliza MUNGU katika yote hayo hapo juu.
--------------------------------------------ALL THE BEST--------------------------------------------------