Kazi ya Kuajiliwa Inakaribia Kunishinda

Kazi ya Kuajiliwa Inakaribia Kunishinda

Niwemugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
902
Reaction score
462
Nahitaji ushauri wa ki HR otherwise kazi hii ya kuajiliwa inakaribia kunishinda.

Mimi ni mwajiliwa wa kampuni moja hapa mjini kwa kipindi cha miaka miwili, wakati niliposaini makataba working hours ilikuwa saa mbili kamili asubuhi (08:00AM) mpaka saa kumi na moja jioni (05:00 PM) na work days ilikuwa Monday to Friday.

Juzi kati management imeongea na HR Manager wakamuambia kuwa infact tunafanya kazi kwa muda mfupi kwa hiyo wametengeneza mkataba kwa kila mfanyakazi kwamba inatakiwa kila Jumamosi tuwepo kazini kuanzia saa mbili asubuhi (08:00AM) mpaka saa saba mchana (01:00PM) lakini hakuna motivations wala incentives zozote zilizoongezeka.

Please naomba mnipe ushauri kama ni haki kuongezewa muda wa kazi kinyume na mkataba wa awali wakati mshahara wangu bado upo pale pale haujabadilika.
 
Nahitaji ushauri wa ki HR otherwise kazi hii ya kuajiliwa inakaribia kunishinda, mimi ni mwajiliwa wa kampuni moja hapa mjini kwa kipindi cha miaka miwili, wakati niliposaini makataba working hours ilikuwa saa mbili kamili asubuhi (08:00AM) mpaka saa kumi na moja jioni (05:00 PM) na work days ilikuwa Monday to Friday.Juzi kati management imeongea na HR Manager wakamuambia kuwa infact tunafanya kazi kwa muda mfupi kwa hiyo wametengeneza mkataba kwa kila mfanyakazi kwamba inatakiwa kila Jumamosi tuwepo kazini kuanzia saa mbili asubuhi (08:00AM) mpaka saa saba mchana (01:00PM) lakini hakuna motivations wala incentives zozote zilizoongezeka.Please naomba mnipe ushauri kama ni haki kuongezewa muda wa kazi kinyume na mkataba wa awali wakati mshahara wangu bado upo pale pale haujabadilika
Niwemugizi muda wa kawaida wa kufanya kazi kwa wiki ni kati ya masaa 40 mpaka 45. Kwa maana hiyo Jumatatu mpaka Ijumaa ukiondoa muda wa saa moja la mapumziko ya mchana unakuwa umefanya kazi masaa 40. Ukiongeza masaa 5 ya Jumamosi utakuwa umefanya kazi masaa 45 ambayo bado yako katika muda wako wa kazi hivyo hustahili kupata malipo ya ziada.

Ofisini kwangu sisi Jumamosi ni "option" kama mtu ana "backlogs" ya kazi zake anaweza kuja lakini si lazima
 
Last edited by a moderator:
Soma Employment and Labour Relations Act, 2004, inaeleza kuhusu overtme, working hours, holidays, na malipo yake.
 
Niwemugizi muda wa kawaida wa kufanya kazi kwa wiki ni kati ya masaa 40 mpaka 45. Kwa maana hiyo Jumatatu mpaka Ijumaa ukiondoa muda wa saa moja la mapumziko ya mchana unakuwa umefanya kazi masaa 40. Ukiongeza masaa 5 ya Jumamosi utakuwa umefanya kazi masaa 45 ambayo bado yako katika muda wako wa kazi hivyo hustahili kupata malipo ya ziada.

Ofisini kwangu sisi Jumamosi ni "option" kama mtu ana "backlogs" ya kazi zake anaweza kuja lakini si lazima

Ukihesabu kunzia saa mbili hadi saa kumi na moja ni masaa 9 zidisha mara siku 5(jtatu hadi ijumaa) that means anakuwa amemaliza masaa 45;kwahyo jmos akija ni kwamba masaa yanazidisha...
 
Mkuu nimekubaliana na wewe kabisa tunapohesabu masaa ya kazi normally hatutoi lunch time kwa hiyo kama mtu inatakiwa afanye 45 hours tayari kutokea Jtatu mpaka Ijumaa 45 hours zimeshatimia.Sasa hiyo Jmosi ndiyo sijui watafanyeje,tatizo ndugu yangu atakuja mtu hapa ooooo waTanzania ni wavivu oooooh sijui nini lakini nakuambia kwa mishahara tunayopewa halafu Jmosi ambayo tungehangaika zetu waichukue inakuwa ngumu sana
 
Lunch break haihesabiwi ambayo ni saa 7 mpaka saa 8 mchana
 
Ukihesabu kunzia saa mbili hadi saa kumi na moja ni masaa 9 zidisha mara siku 5(jtatu hadi ijumaa) that means anakuwa amemaliza masaa 45;kwahyo jmos akija ni kwamba masaa yanazidisha...

Employment Act Section 21

21.-(1) Subject to this Part, an employer shall give an employee
who works continuously for more than five hours a break of at least 60
minutes.

(3) An employer shall not be obliged to pay an employee for the
period of a break unless the employee is required to work, or to be
available for work, during the break.

Hivyo lile lisaa moja la chakula cha mchana halihesabiwi
 
ooh nashukuru kwa kunikumbusha mdau
 
Du hakiyamama mwaka huu nafilisika yaani na Jmosi wanaichukua sasa hawa wanaojiita wawekezaji.Bora hata unikate mshahara lakini Jmosi na Jpili uniachie,naanza kusaka ajira rasmi ambayo watu Jmosi hawaendi kunyonywa
 
Mkuu nimekubaliana na wewe kabisa tunapohesabu masaa ya kazi normally hatutoi lunch time kwa hiyo kama mtu inatakiwa afanye 45 hours tayari kutokea Jtatu mpaka Ijumaa 45 hours zimeshatimia.Sasa hiyo Jmosi ndiyo sijui watafanyeje,tatizo ndugu yangu atakuja mtu hapa ooooo waTanzania ni wavivu oooooh sijui nini lakini nakuambia kwa mishahara tunayopewa halafu Jmosi ambayo tungehangaika zetu waichukue inakuwa ngumu sana

habari za kwend akazini Jmosi ni uzushi tuu,kwanza wengine tunaabudu Jmosi
 
Du hakiyamama mwaka huu nafilisika yaani na Jmosi wanaichukua sasa hawa wanaojiita wawekezaji.Bora hata unikate mshahara lakini Jmosi na Jpili uniachie,naanza kusaka ajira rasmi ambayo watu Jmosi hawaendi kunyonywa

Mi nlishasema ofc ya kwenda Jmosi sitawweza kabisaa,n acjawah kukutana na hiyo kitu..au ikitokea naenda lazma nilipwe ..tatzo huwa haki zetu hatuzijui
 
Angalia usije ukatoka halafu ukakosa kazi, siku hiz ajira ngumu... we ukitoka mwenzio anaingia. Na unapaswa ulipwe kwa hayo masaa yanayozidi
 
Masaa yepi tena yanayozidi? Kwa kawaida kutokana na sheria za uajili za hapa Tanzania ni kwamba mtu anatakiwa afanye kazi 45 hours kwa hiyo Jtatu mpaka Ijumaa ni 40 hours na ukijumlisha half day ya Jmosi ndiyo inakamilisha masaa 45 kwa hiyo hakuna cha kulipwa wala nini ni kwamba Jmosi ukienda kazini inahesabiwa kama a normal working day though they treat it as a half day,kwa hiyo kwa kifupi HATUTALIPWA CHOCHOTE
 
Back
Top Bottom