Majina ya walioomba kazi wizara ya afya haya hapa

mwankuga

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
334
120
[h=6]Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali za kazi katika wizara ya afya na ustawi wa jamii (kada za afya),majina na vituo vya kazi yametolewa kwenye tovuti ya wizara hiyo ambayo ni www.moh.go.tz[/h]
 
Asante kwa taarifa! Ila tangazo lina mapungufu mengi tu... Ni vigumu kuamini kama limeandalikwa kutoka wizarani???!
 
mbona hakuna hayo majina unayosema kwenye website ya wizara ya afya? tuweke wazi ili tujue basi
 
..wakubwa kazi hamna kwa sasa wizara haihitaji wafanyakazi
kama kweli ingekuwa inahitaji tokea wengine mmemaliza internship zenu tokea mwaka juzi mngekuwa mpo mtaani bila kazi??dah hii ndo tanzania liwalo na liwe ndo mana ya ule msemo aliosema bungeni
 
Back
Top Bottom