Habari za leo wana JF inaskitisha wizara kama hii kutoa taarifa za uongo, ukizingatia taarifa yenyewe ni ya ajira mpya. Mnatuwekea majina ya watu walio kwisha ajiriwa mwaka jana na kuita eti ni...
Kwa wale walio karibu na makao makuu ya JKT tunaomba watutupie majina ya vijana wanaenda JKT na kambi zao, huku tarehe ya kuwasili kambini ikiwa ni tarehe 3/3/2014
tembelea Jeshi la Kujenga...
1.POSITION TITLE: SHIFT IN CHARGE-(2 POSITIONS)
SCOPE OF POSITION:
Successful applicant must be read to work on "shift" basis including weekends and public holydays. They should be willing to...
Naombeni kama kuna shule ya kufundisha, naomba unitafute nipo tayari kwa masomo ya History na Civics. Nina degree ya Sayansi ya jamii katika historia(ba in history).
Asanteni 0765268577
Nimetuma email. Nilichojibiwa.. Dah.. Nashukuru ujasiri Mungu kanijalia sikureply ile email.
Hivi Hawa jamaa Issue ya ajira wanaichukuliaje? Mnaboa mjue. Fresh tu.
Job Opportunity
Sales
We are looking for highly motivated sales people to market auto repair & maintenance services.
Responsibilities:
Develop new business opportunities through cold...
Sales person needed, should be fluent in English and swahili , preferably with FMCQ products experience.
Salary between 300-500 (depend with C.V).
Motorbike given as transport.
PM for more...
Amani na salaama wanajamvi.
Pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.
Nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration? Namalizia BAED ya UDSM..
Nawasilisha.
Tanzania - Finance Accounting & Operations Manager at PwC
The CompanyPwC firms help organizations and individuals create the value they are looking for. We are a network of firms in 158...
Polen na majukumu
Natafuta kazi ya yoyote hata ya usafi kama itapatikana Arusha . Elim yangu kidato cha nne nina Diploma ya journalism pia nimesoma computer.
Naombeni msaada wa kazi yoyote hata...
Habari wadau,
Ebana natumai mko salama wadau, nimeona nishare nanyi experience yangu kuhusu suala la ajira maana wahanga tupo wengi.
Mwenzenu tangu nimalize chuo nimeambulia interview NNE(4)...
If you are able to teach Accounts using English language - Financial and Management Accounting, urgently email your CV to director@eastcoastcollege.org.
As soon as your application is...
Mimi ni miongoni mwa waliofanikiwa kuitwa katika usajiri amani health project, shaka yangu naambiwq nitoe lakimoja kama ada ya kujiunga na hii project, naomba kwa wale waliotuma maombi kama na wao...
Mimi ni mchoraji wa maandishi ya kiarabu kwa anaehitajia namkaribisha
anuani yangu ni
795 Tanga
Mobile 0715 018250
e-mail kherimwangome@gmail.com
karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.