Deadline yao ni tarehe 27/02/2014. Kutakana na kufatilia cheti cha la 7, nikawa nimechelewa na leo ndo nimepeleka posta maombi yangu. Na posta tawi ambalo mimi nimepeleka barua wameniambia barua zinakuja kuchukuliwa kesho saa 4 asubuhi.
Sasa nauliza hadi ifike uhamiaji itakua nimefikia lengo la kutuma mwisho tar 27/2?
Naombeani msaada wa mawazo
Sasa nauliza hadi ifike uhamiaji itakua nimefikia lengo la kutuma mwisho tar 27/2?
Naombeani msaada wa mawazo