nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz
du kazi njema!yaani akiwacheki tu hao anapata kazi!!Kama upo dsm wacheki jamaa wa Teachers Junction no yao ni 0753810857.Kazi njema.
Upo mkoa gani na unakaa maeneo gani hasa.nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz