Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha.
1 Reactions
11 Replies
11K Views
BOT usaili vipi kwa anayejua undani?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF? Nilikuwa naomba mtu yeyote anafahamu lilipo au yalipo maduka ya vyombo vya nyumba vya mtumba anifahamishe mimi nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari JF Nilikuwa nikifanya kazi na mradi mmoja malaria ila umeisha mwaka huu mwezi January 2014. Nisaidie kwenye CV KIPENGERE CHA EXPERIENCE Procurement Officer - yyyyyyyyyyy January 2009 -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AJIRA MPYA EWURA {MWISHO TAR 14 MARCH 2014} NA TANESCO {MWISHO TAR 18 MARCH 2014} CHANGAMKIA... The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent world class...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni kijana nimemaliza form VI. Hivyo natafuta kazi ili nimudu mahitaji yangu ya kila siku.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Mimi nina degree ya Political Science and Public Administration ila Ajira bado ni zoezi gumu, sasa kuna jamaa alinishauri kusoma baadhi ya short courses kuwa zinarahisisha...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wadau naomba niwaulize, mwezi January US Embassy Tanzania walitangaza nafasi za kazi kwa categories mbalimbali naomba kufahamishwa. Je watu waliokua wameapply for Communications specialists...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye taaluma hiyo at least cheti na anasaka kazi ani-pm kuna ishu burdan nimpatie.Awe wa kiume
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiona haikuhusu we pita tu. Mimi nime apply tena mapema tu, sasa dead line isha pita hakuna simu wala e.mail. Kuna yeyeto alie pigiwa simu among the applicants?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nsaidieni jamani natafuta tempo or permanent job. Nimehitimu dip ya finance & banking toka chuo cha Uhasibu Arusha.
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza ambaye hana taaluma. Maana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwango vya utumishi vya TGS take home yake huwa...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Nina stationary Moshi mjini eneo la Mbuyuni, ninaomba Tenda ya kuchapisha mitihani au nakala mbalimbali za shule au ofisi yeyote ile. Mawasiliano:aloyce_emmanuel@yahoo.com 0764506775.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The LegalServices Facility is an independent Basket Fund supported by DANIDA and DFID JOB VACANCY ACCOUNTSASSISTANT The LegalServices Facility provides support for the enhancement of legal...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani NHIF wataita lini 4 interview?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wale wanaopenda kuendelea na masters, Mchongo wa scholarship mwisho 12 March9 (pdf attached for more details) MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING CHINESE GOVERNMENT SCHOLARSHIPS...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Principal Estate Development Engineer Open Position: Principal Estate Development Engineer Reporting Office: Head Office...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kwa alienataarifa juu ya nafasi zilizo tangazawa Shanta Mine. Walisema kuanzia march/2014.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
am a qualified accountant, 10 years of experience looking for part time job.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL& EXTERNAL ADVERTISEMENT Background – TANESCO...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom