Cheti cha Darasa la Saba

Cheti cha Darasa la Saba

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU
 
Ukienda kuomba kwenye Shule ya Msingi uliyosoma unapewa. Shida ipo kwa wale wanaoruka madarasa labda toka darasa la sita halafu anaenda kuanza Sekondari.
 
Ukienda kuomba kwenye Shule ya Msingi uliyosoma unapewa. Shida ipo kwa wale wanaoruka madarasa labda toka darasa la sita halafu anaenda kuanza Sekondari.

HAMJAELEWA TOPIC YANGU?...anayejua umuhmu wa hcho cheti aniambie
 
waliosoma primary za private hapa ndo zogo linapoanzia.
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

Hatà mim naaplay hiyo kazi! Cheti cha lasaba ni muhim usidharau watu tunapata kaz nzur kwa cheti ichoicho unachokiona chakisenge waache watu na protOcal zao zakazi ndivo utendaji wakazi ulivo koz kila kitu kina umuhm wake ktk maisha,
 
waliosoma primary za private hapa ndo zogo linapoanzia.

Tutathibitisha vp kama ulimaliza primary? Ndio nyie nyie mnaofanyaga madudu yakuwarusha watoto madarasa then baadae wanaikosa ajira mnaanza kulaumu serikali sio ------- wanapotoa cheti chochote kina kaz yake otherwise hata ww usingesoma mpaka la 7, mambo hayaendi kiholela tu prove kama kweli umemaliza shule toa cheti haya kwan cheti cha form 4 au 6 au chuo kikuu kina umuhim gan
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

Ni hio hio primary iliyonileta mpaka kumaliza Degree yangu yakwanza ya sheria na mwezi wa 9 kujiunga na masters nahapo baadae PHD nakuendelea!
 
Ni ufala,walio-skip grade 7 je?..achaneni na hyo pccb,
 
Taarifa kama umemaliza shule ya msingi kati ya mwaka 1993 mpaka 1999 vyeti vili stop kutolewa na vilianza kutoka mwaka 2000 so be care ..... Unapoenda shule kama umemaliza miaka hiyo utapewa barua tu ya utambulisho
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

Everything should be judged reasonably, essp ktk sehem nyeti kama pccb, uhamiaji they shuld b fully trusting yu kwan cheti chakuzaliwa kina umuhim gan kama cha la 7,4,6,au chuo kikuu? Its just a part and percel yakukamilisha procal zakazi ktk coincidence yoyote
 
Swala hapa si kuzarau, ila tatizo kwa wale waliomaliza shule ya msingi wakati hivi vyeti havitolewi inakuwaje? au vinatolewa sasa?
 
Mleta mada elimu yako ndogo...Hata darasa la 7 hujafika wewe umemalizia la 4
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU
Bora wafanye hivo tena waongezee leaving certificate ya form four maana akina Kagame wameshatuvamia kwa hiyo cheti cha darasa la saba kitasaidia kuwapambanua hata kama si kwa kiwango kikubwa lakini walau itasaidia kidogo.Kama wewe ni mtanzania halisi hata kama upo Dar kwenu ni huku kwetu Nyakanazi kama upo serious na kazi rudi huku chukua cheti aply kazi ama ukisingizia kuwa eti wewe wakati unamaliza shule kwamba vilikuwa havitolewi rudi uiposomea mwalimu mkuu wa shule yako atakuandikia barua ya utambulisho kuwa ulimaliza mwaka 1994 ambapo vyeti vilikuwa havitolewi.Wengi walioaply PCCB vyeti hivo vimewasaidia.Na kama hutaki basi acha kulalalama maana hatuko salama sana inabidi tuanze kuwapambanua hasa kwa kazi hizi nyeti
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

Mbona umekuwa mkali hivyo? Kwani tatizo ni nini kuhusu huo utaratibu wao wa kuambatanisha cheti cha darasa la saba!

Endapo unaona huwezi kuambatanisha hicho cheti wapishe wenzako wenye nia na hiyo kazi kuliko kulalamika!
 
ni kwamba hawana uhakika kama ulisoma shule ya msingi!!
 
Back
Top Bottom