Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu zangu naomba mnijuze, Mkapa Foundation wanaita watu kwa awamu ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
I am B.A Economics holder from UDSM, nina first class 4.5. Napenda sana kuwa na CPA. Nitaanza module gani? Ahsanteni
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kwa mahitaji yote ya kuprint document kwa size yoyote ile A1-A6, vitambulisho, tshirts na kofia, keyholders, kalamu zenye nembo ya ofisi,table tents, post cards, sticker, magazines, bronchures...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Habari wakuu, Naomba mtu anayejua mshahara wa Estate Officer II, pale AICC anijuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuuu, I am serious, I am a Medical Doctor ndo nimemaliza juzi chuo, huku nikingoja Internship mwezi wa 9. Naomba kazi yeyote popote iwe kutibu or otherwise.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeangalia kwenye waraka wa mishahara kilimo hakuna wameweka researchers tu, naomba kujuzwa kwa anaefahamu salary ya horticulturist mwenye diploma. Tafadhalini.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanajamii naomba mnisaidie kujua kama ni sahihi kuwaweka REFFAREES wote watatu(3) kutoka Organisationi moja. Yaani reffarees wote watatu(3) wanafanya kazi kwenye organization moja.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Samahani kwa aliyewahi kufanya kazi na hii NGO, please msaada hivi package zao zikoje especially kwa pharmacist or medical doctors.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana bodi, Natafuta nafasi ya internship ya marketing kwenye makampuni ya simu , ndo napiga Masters ila kwa sasa ( MBA in Marketing) nimeshamaliza course work ndo nafanya reserach kwa sasa. Je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Naomba kujuzwa MTU anapoanza Nazi katika ile miezi mitatu ya probation, Je anapaswa kukatwa nini? Kodi, NSSF au hakatwi kabisa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau za mida, Ebwana nani mwenye taarifa ya post za Sales Representative, za Total Tanzania Ltd. Mwenye taarifa atujuze
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wanaJF? Natanguliza pole kwa fighters wa ajira ambao mpaka sasa hawajapata ajira! Hali ni mbaya kiasi kwamba imefika hatua ya kuomba kazi nje kbs ya professionals tulizosomea! Siku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Follow the link... TheMonthlyJob.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini hapa. Namshukuru Mungu naendelea kupumua japo maisha yangu ni kama hayaendi hivi. Kifupi mimi nimekulia katika mazingira magumu sana na nimepata elimu yangu kwa tabu nyingi sana, lakin...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
nimekuwa najiuliza kuwa huu mladi wa mabasi yaendayo kasi ukikamilika itakuwa inajiendeshaje?chini ya serikali au itapewa mamlaka kama bandari,tra,tazara?na je ajira zake zitakuwa?naomba mnijuze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Are you interesting in making a positive difference? Come and join us at Kujali International! Volunteer as a teacher for English language to vulnerable youth aged 16 – 24 years. Session held...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemaliza Bachelor of Tourism Management 2012, hadi leo sina pa kujisihkiza. Nimeomba kazi sehemu nyingi bila mafanikio na sehemu zingine nimeombwa rushwa ya ngono sikuwa tayari kwa hiyo nilikosa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za mcha huu wakuu naomba msaada wenu juu ja hili nina ndugu yangu anatafuta nafasi ya udereva na ana madaraja yafuatayo; A, E, C na nimzoefu na amewahi kufanya makampuni yafuatayo SBC...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom