Mwenye Uzoefu Naomba Msaada Waungwana

Mwenye Uzoefu Naomba Msaada Waungwana

ahsante mkuu kwa ushauri wako,lakini mimi nahisi labda kwa kusoma huku nafanya kazi labda inaweza kunipunguzia ugumu wa maisha
 
Tafuta attachment inawezekana nenda pale IST present idea yako wakikuzoe utapata ajira kijana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama uwezo wako ni mkubwa tafuta hiyo part time lakini kams kawaida bora ungeongeza nguvu kupata Gpa kubwa coz ua still first year ukipata Gpa kubwa for the future utafanya hizo part time na Gpa kubwa coz watu watakuamini na hilo Gpa otherwise endelea kufight coz nilikuwa hapo Udsm nafahamu vizuri situation
 
Kaka linda course work kwanza vingnevyo utaitwa september comference hadi uchoke.
 
Back
Top Bottom