Kutoka kwa mmoja wa wale ambao walioshiriki kwenye interview
za bima ya afya (NHIF) mwaka 2012, haya ndiyo maswali yao:
1. what will be your duties and responsibilities if you get employed?
2...
Wadau nahitaji civil or environmental engineer mwenye uzoefu na kazi za maji awe tayari kufanya kazi vijijini mahali ilipo miradi yetu nipigie 0784876210
Natanguliza salamu!. Nimeona tangazo katika website ya utumishi linalohusu watu kuitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 25-27 September 2012. Walioitwa ni wale walioomba kazi zilizotangazwa...
Kwa wale waliofanya interview PCCB leo ndo wamemaliza kuwahoji watu kwenye kumbukumbu yangu ndo kwanza kushuhudia interview nyenye watu wangi ukianzia na ile APTUTIDE TEST na nikishuhudia muda...
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 32 nina tafuta kazi za clearing and forwarding kwa kazi zinazohusu na field hiyo,.nina cheti cha chuo cha kodi kinachotumika kwenye kusajilia makampuni hayo...
hello!
Ninawasalimu wanabodi wote.
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Utawala(B.A Public Administrayion).Nitumia andiko langu hilo kuonesha uhitaji wa ajira ktk eneo tajwa hapo juu,sina uzoefu...
Jana nimeshuhudia mtu anaangalia majina yaliyotolewa na serikali halafu haoni la kwake, kwa kweli mi naona inauma roho sana, ukizingatia mtu amefanya sacrifice ya kusomea ualimu kwa mategemeo ya...
Kwa wapenzi wa mziki , tunatoa mafunzo ya mziki , kujifunza kuimba, kupiga gitaa na Kinanda ... Gharama ni sh 30,000/= kwa siku tano
i.e mafunzo ya vocal ( vocal training) 30,000/=
Kupiga...
About Ecobank :
Incorporated in Togo, Ecobank Transnational Inc (ETI) is the parent company of the leading independent pan-African banking group. The Group currently has a presence in 35 African...
With FNB, you can be part of a company that offers you a career, not just a job. With a wide range of employment options and business areas to choose from, you are bound to find a perfect fit...
wadau ni habari ndani ya gazeti la habari Leo....zimamoto wametoa majina mengine tena,,,,
sijafuatili sana.but that how it is....
usaili utafanyikia bwalo la ukonga na sio kurasini kama...
Habari wadau...ukosefu wa ajira umeniweka kwenye wakati mgumu sana yani mtu unasoma kwa tabu na bado maisha baada ya kumaliza magumu sana.Ni binti wa miaka 25,nna B.A in Sociology nmehitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.