Any one with any information on the CAMUSETA

Any one with any information on the CAMUSETA

bill2014

Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Vipi wale jamaa kwenye ile open interview yao ya juma mosi kule palm street/ mbez beach hawaja ita watu bado..!!
 
We ulifanya juu ya nafasi ipi? Mie nimepigiwa simu ijumaa natakiwa niende ofisini kwao na vyeti original.
mh!mkuu interview imefanyika j.mosi aafu ijumaa umepigiwa cm??
 
Minilifanya Administrative post bana & sija pokea simu wala missed call yeyote ngeni.
 
Kumbe ni CAMUSAT... Nyomi lote lile mara hii waite watu, hizo CV wamekagua saa ngapi
 
CAMUSAT kwa sasa hawajadaka project yeyote but they expect to get them soon so pale walichokuwa wanafanya ni kucollect C.V na kama project wakipata watawaita wale wenye vigezo...

But I smell tatzo pale....uchuolization...
 
Ukiona umeingia wasiwasi I doubt na qualifications zako
 
J.lee jirani vp bado hawa ja kuita na wewe...mambo safi lakini
 
Back
Top Bottom