Msaada kujuzwa zilipo ofisi za nhif

Msaada kujuzwa zilipo ofisi za nhif

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
32
Naomba mtu ani elekeze kwenda kurasini.kama ukitokea ubungo au tabata- segerea ni pande gari za wapi na nishuke kituo gani.asante
 
ukitoka ubungo panda gari ya mbagala shukia uhasibu kisha unachukua gari za mbagala posta unashukia kurasini au unachukua gari za posta ukifika posta unachukua gari za mbagala unashukia bandari... kwingine wapi mkuu unaulizia?
 
Hawa jamaa NHIF ukweli haswa hawako wazi sana,naona kuna kaujanjaujanja tu hapa. ukitizama matangazo yao pia hawako wazi sana hasa kuhusu location yao.
 
Ukitokea ubungo panda gari za mbagala shuka uhasibu vuka barabara then subir magari yanayoenda kkoo kupitia barabara ya shimo la udongo panda hilo gari then shuka kituo kinaitwa biashara ukishuka vuka Barbara upande wa pili utaona majengo yana ranging ya km njano/ orange na damu ya mzee fata iyo Barbara sambamba na huo ukuta wa hilo jengo utaona geti upande wako wa kushoto ingia humo ulza interview zinafanyika wapi humo ndan ndo TEC au baraza la maaskofu.
 
Ukitokea tabata panda gari za tbt- tandika shuka tandika then tafuta magari yanayoenda kkoo kupitia shimo la udongo then ushuke biashara sawa?maelezo mengine copy hapo juu.hope umenielewa.
 
ukitoka ubungo panda gari ya mbagala shukia uhasibu kisha unachukua gari za mbagala posta unashukia kurasini au unachukua gari za posta ukifika posta unachukua gari za mbagala unashukia bandari... kwingine wapi mkuu unaulizia?

Panda gari ya kariakoo, then panda ya temeke kupitia shimo la udongo shukia bandari head office iko pembeni yake, au panda gari ya mbagala au temeke shukia kituo bandari, utatembea kidogo
 
Naomba mtu ani elekeze kwenda kurasini.kama ukitokea ubungo au tabata- segerea ni pande gari za wapi na nishuke kituo gani.asante

interview ni ukumbi wa baraza la maaskofu kurasini, panda gari za shimo a udongo,ukiwa kariakoo,uhasibu temeke k
 
Back
Top Bottom