Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

0685816103 kama una kazi ngum ngum niko tayari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama upo tayari au taarifa yeyote 0713715772
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ikifika tarehe 31 January hujaitwa kwenye short list ya zile kazi za hawa mabwana nadhani its safe to assume kuwa hukufanikiwa. PDB walishaanza kuita watu na kuwa interview since December. Hawa...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Pitia hlo gazeti!! Kuna chance humo kama sio wewe basi ndg,jamaa au rafiki yako
0 Reactions
7 Replies
5K Views
CALL FOR INTERVIEW AT NHIF , MARCH 2014 NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND CALL FOR INTERVIEW National Health Insurance Fund (NHIF) do hereby invites ALL applicants who applied for various posts in...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Mwaka jana kuna tangazo la kazi KIA liliwekwa humu nafasi za Estate and Environment Officer, Executive Secretary, Procurement Officer na deadline ilikuwa 13 November 2013. Interview itakuwa next...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadai kuna jamaa yangu yupo safarini Kanitumia link ya kuomba internship za British council but haifunguki na deadline ni kesho!! Mwenye kujua anipe maujanja!!!!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Total walitangaza nafasi za kazi, sales representative last moth, Mwenye kujua kama watu, walishaanza kupiga mzigo au usaili bado haujafanyika? Nawasilisha!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu... Nimeona Tangazo la Nafasi za kazi BMC, naomba kujua viwango vya mishahara yao kama wakivyoainisha kwa madaraja... 1. PMGSS 18 2. PGSS 5 3. PMGSS 10 4. PGSS 5-6 5...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kama nakumbuka vizuri BOT walitoa nafasi mwisho mwaka jana,zilikuwa posts kibao lkn mpk leo sijabahatika kupata habari zozote kama watu walishachukua vitengo au la..nijuzen wadau km kuna mwenyekujua..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Company: Jeshi la Zima moto na uokoaji Phone: No calls required please Position: Sajini Wa Zimamoto na Uokoaji (Sergeant...
1 Reactions
17 Replies
23K Views
Wasalaam, Ndugu zanguni ni mwaka wa saba sasa natafuta kazi bila mafanikio. Niliomba kazi kila mahali lakini sijafanikiwa. Nikajaribu kuwaomba maboss mbalimbali lakini niliambulia kuombwa...
3 Reactions
92 Replies
17K Views
LEO NIMEONA WADAU WAAJIRA NIMEONA HIKI NI SHARE NA NYIE SIO NIFAIDI MWENYEWE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Jumla ya Walimu wapya...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba kuuliza wale waliofanya usaili tarehe 6&7 March 2014, kuna aliyepigiwa simu kuitwa au kujulishwa?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Aisee naomba kuuliza hawa jamaa wanajiita Digital Opportunity Trust walikuja hapa watu tukajaza mafom yao na kujibu maswali online. Wamepotelea wapi aisee mwenye taarifa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mwenye kujua vipi mchakato tayari au bado ili tujue tusiweke matumaini sana kumbe kazi watu washachukua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tecnician
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa alieskia sehemu kunahitajika technician of civil engineering anijuz
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Niliitwa kwenye interview sikuhojiwa wakasema watatitafuta, vipi wenzangu mmeitwa? na hata ile ya pili niliumba sikuitwa. Tujuzane jamani.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom