Habari wadau! Hawa jamaa kuna kipindi waliita watu kwenye interview na mim nikiwemo sasa kama kuna mtu anataarifa wamafikia wapi naomba msaada wa taarifa! Asante!
Looking for an accountant with CPA,more than 5 years experience in alliedsectors ; import/export, retail, multi locationmanagement and hotels.
Please email your CV to info@lenjen.co.tz
Wadau majibu ya ule usaili wa kwanza bado tu? mwenzenu tokea tar 17 niko online kuyasikilizia hayo matokeo lakini kimya da!
Wadau mkiyapata tupeane news.
I am competent, loyal and hard working lady, Diploma holder in Secretarial duties
Searching for any post as the Title reads.
get in touch through my email - ruthdan2013@gmail.com :yield:
SYSTEM YA BONGO IPO HIVI...........
''kama baba yako alikuwa kibaka basi hata ukiwa
na PHD utabaki kibaka tu, na kama baba yako ni raisi hata ukiwa
kilaza namna gani nawewe utakuja kuwa raisi...
Habarini,
Nilitaka kufahamishwa kuhusu hawa watu.Makampuni mengi siku hizi yanahitaji hawa watu kwa ajili ya kukuza wigo wa biashara zao ukizingatia social media ndo sehemu ambapo watu wengi...
Hivi haya majina ya vyeo vya watumishi wenu mnayatoa wapi mbona hayaleti maana kabisa mfano:
1-clinical assistant mnamwitaje kwa kiswahili je ni kweli anahasist au anafanya mwenyewe
2-assistant...
In Kenya, the UN Women Country Programme contributes to the development objectives of Kenyas blue print, the Vision 2030 and is aligned to the United Nations Development Assistance Frameworks...
Mpaka nishasahau, hawa WV by Dec 2013 walitangaza nafasi za Programme Finance & Administration Officers, eti leo j2 wamenipa taarifa kuwa interview j4 Arusha. So waliomba kaani mkao wa kula!
Habar zenu.
Najua kuna aina ya mavazi tunayotakiwa kuvaa siku ya interview kulingana na post yenyewe. Nauliza hivii kama interview hii ya written ya NHIF tuloitwa wote je tunapaswa...
1.0 KIBAHA EDUCATION CENTRE (KEC)
Kibaha Education Centre is a multi-purpose Educational Institution that is located in Coast Region (Tumbi area) about 40 kilometers (24 miles) West of Dar es...
Waungwana salama jamani,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa chuo cha maji Rwegalulila pale Ubungo fani yangu ni Electrical Installation ngazi ya Level 2, na mpaka sasa nipo tu...
SHP wants to employ 50 generalnurses and 10 ICU nurses
Scandinavian Health Programs hasorders of 50 nurses and 10 ICU nurses starting the 15th of June thisyear. We also need 25 more nurses mid...
Me: Samahani ndgu zangu, mpaka kufika kuomba ushauri ni hivi, mimi ni graduate engineer katika fani ya telecom mwaka jana(2013). Shida iliyofanya nije kuomba ushauri ni hii mwez uliopita tar 16...
We are looking for a sales person(preferably a man) for a new Turkish generators' company opening soon in Dar es salaam.
Qualifications: Computer skills, knowledge in Swahili, English and Turkish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.