Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,851
hello!
Ninawasalimu wanabodi wote.
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Utawala(B.A Public Administrayion).Nitumia andiko langu hilo kuonesha uhitaji wa ajira ktk eneo tajwa hapo juu,sina uzoefu wowote.
Baadhi ya sifa nilizo nazo ni pamoja na uadilifu,uaminifu,weledi,uchapakazi na ubunifu. Ninaamin ninaweza kuwa na mchango chanya kwa ajili ya office itayonipatia fursa.Ninachoangalia mbele yangu ni kujifunza zaidi,kupata uzoefu na kupanua wigo wa kiweledi kwa watu mbalimbali(proffessional network).
Kwa sasa naishi Dar es salaam,ninapatika haraka kwa kadri ya uhitaji(available on immediate effect)
N.B
I am male with 26 years of age.
Kwa wote wenye fursa kulingana na dhima ya bandiko ninakaribisha kufanya mawasiliano kwa njia ya ujumbe binafsi/maalum (Private Message,PM)
nitanguliza shukrani.