Mafunzo ya mziki

Mafunzo ya mziki

chief mtwe

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
95
Reaction score
11
Kwa wapenzi wa mziki , tunatoa mafunzo ya mziki , kujifunza kuimba, kupiga gitaa na Kinanda ... Gharama ni sh 30,000/= kwa siku tano
i.e mafunzo ya vocal ( vocal training) 30,000/=
Kupiga gitaa (30,000/=)
Kupiga kinanda(30,000/=)
mafunzo yatakuwa mabibo mwishi
mawasiliano 0784587191
 
mimi nina miaka 46 , naweza kujifunza gita la solo?
 
weka syllabus ili tujue unatoa mpaka level ipi. Weka na cv yako ya muziki ili tukija wanafunzi tujue tunafundishwa na nani na ana elewa nini katika muziki. Nisije kutoa elfu 30,000 ili nielewe gitaa au kinanda alafu nisielewe patachimbika
 
For more info check us on our mobile number , tunaamini utapata ujuzi stahiki , wote waliofundishwa nasi waliweza kupiga vyombo vya mziki kwa ustadi mkubwa , muhimu ni kuwa na kiu ya kujifunza na uwe na more practice
 
Kwa wapenzi wa mziki , tunatoa mafunzo ya mziki , kujifunza kuimba, kupiga gitaa na Kinanda ... Gharama ni sh 30,000/= kwa siku tano
i.e mafunzo ya vocal ( vocal training) 30,000/=
Kupiga gitaa (30,000/=)
Kupiga kinanda(30,000/=k)
mafunzo yatakuwa mabibo mwishi
mawasiliano 0784587191

Mkuu mimi nipo mwanza, cjajua kama huduma yenu inapatikana huku
 
Back
Top Bottom