baldin Senior Member Joined Jan 2, 2012 Posts 185 Reaction score 41 Mar 18, 2014 #1 wadau nilikuwa nahitaji kufahamu vituo kutoka ubungo kufika bonde la mpunga msasani beach. kwa anayefahamu naomba anifahamishe.
wadau nilikuwa nahitaji kufahamu vituo kutoka ubungo kufika bonde la mpunga msasani beach. kwa anayefahamu naomba anifahamishe.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,542 Reaction score 138,496 Mar 18, 2014 #2 duh panda basi la ubungo masaki shuka kitio cha njia panda kwenda ccbrt...hapo ukiuliza tu utapelekwa
duh panda basi la ubungo masaki shuka kitio cha njia panda kwenda ccbrt...hapo ukiuliza tu utapelekwa