Zima Moto Wametoa Majina Awamu ya Pili

Zima Moto Wametoa Majina Awamu ya Pili

The Moon Master

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
133
Reaction score
31
wadau ni habari ndani ya gazeti la habari Leo....zimamoto wametoa majina mengine tena,,,,

sijafuatili sana.but that how it is....

usaili utafanyikia bwalo la ukonga na sio kurasini kama walivosema awali,,,over....
 
Mwenye majina au aliyeona ilo gazeti atujuze wadau
 
Yametolewa ktk gazeti la habari leo walioomba Assistant Inspector of Fire and Rescue
 
Kwa ngazi ya assistant inspector Wametoa majina yale yale ama wametoa mengine?
 
Back
Top Bottom