Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naomba kujuzwa kuhusu kinachoendelea na hawa watu (BOT na TPDC) kwa nafasi za kazi walizotoa. Au tiyari watu walishaanza na kazi? I need your help please wadau.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wameshafanya Oral Interview pale makao makuu PCCB. Sijui wataanza lini kupigia simu wale waliopita iyo oral interview?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman deadline tayar jaman....,embu natujuzane yalojiri acess....
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Habar zenu wakuu, hivi hakuna umuhimu kwa tume ya ajira nchini kuwafanyia interview(usaili) waalim na kada zingine kama ambavyo imefanya kwa maafisa mifugo na kilimo mwaka huu?ambao nao pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani majina hayo
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Wana jamvi habarini za mihangaiko ya kila siku! Napenda kuwatahadharisha wale waliofanya aptitude test ya Mwanza Community Bank (MCB) kwa ajili ya kupata watu 20 watakaoenda kupata training, hawa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wakuu nimesikia hizi kazi zilitangazwa kwenye gazeti la mwananchi la tarehe 15,nilipo hilo gazeti halipatikani!mwenye data tafadhari niokoeni!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisheni watanzania wenzangu kwamba,kuna nafasi nyingi za kazi za ndani (kupika,kudeki,kuosha vyombo,kulea watoto wadogo na wazee pamoja na za usafi wa mazingira)...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu napenda kuuliza wapi zilipo ofisi za NEWL kwa hapa Dar?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary, wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani mwenye majina walioshortlist zimamoto,naomba anisaidie kuniwekea yale yanayoanzia na 'P',tafadhal msaada!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Job opportunities at WaterAid Tanzania 03.14.2014· Posted in General Jobs WaterAid is an international NGO dedicated exclusively to the provision of safe water, sanitation and hygiene promotion to...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimepgiwa sim na hawa NHIF kwahyo nilikuwa naomba kujua maswal ambayo huwa wanauliza kwnye interview naomben msaada wenu wandugu.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tujulishane Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba atujuze mwenye updates na zile nafasi za kazi chuo kikuu cha Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba tusaidiane juu ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa zimamoto yanatoka lini?
2 Reactions
22 Replies
20K Views
Mwenye habari mpya za uhamiaji atuwekee hapa...pia nauliza kama ni lazima afisa mkaguzi msaidizi wa uhamiaji kwenda Depo kama askari wa uhamiaji
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Secretary ( 1 post) Qualifications and experience · Form IV certificate with credit passes (C or above) in Kiswahili and English or Form VI with principal passes in English and Kiswahili; must...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Naona neema kwa walimu zaanza kuonekana mwaka huu 2014, hizi ni ajira kwa ajili ya waliohitimu Daraja IIIA, Stashahada za Ualimu na Shahada za Ualimu. SOURCE: GAZETI LA UHURU Serikali yatoa...
0 Reactions
36 Replies
33K Views
Back
Top Bottom