Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ukiwa na degree wanakulipa laki tano na sabini na nne bila makato, wakikata makato yoooote unabakiwa na shilingi laki nne na ishirini na mbili na mia tano. Asanteni kwa kunisikiliza
1 Reactions
23 Replies
15K Views
Wakuu poleni na majukumu ya michango yenu muhimu kwetu katika kujenga taifa mm naomba msaada wenu juu ya hii mifuko ya ijamii, NSSF, LAPF, PSPF, upi nimzuri hapo na naomba unipe sababu ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Ninaomba wana JF kuelekezwa zilipo ofisi zinazo ratibu na kusimamia mradi wa mabasi yaendayo kasi zilipo. Naamanisha Adminidt Office,.
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Sina kazi sina chochote yani just home vipi mie ni mgeni hapa dar natafuta marafiki wa kunipa kazi hata ngum nitapataje??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CRDB Bank PLC is the largest bank in Tanzania in terms of Total Assets with a network of over 100 branches throughout Tanzania. Established on I st July, 1996, it is owned by more than I 1,000...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jamani kama kuna mtu anatafuta mfanyakazi wa duka au restaurant ani PM tafadhali mambo magumu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wadau! ningependa kupata kujua ni lini matokeo ya usahili kwa wadau wa kilimo, mifugo na uvuvi yanaweza toka?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa makandarasi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa kada zote na Taasis za serikali na binafsi Matofali haya ni ya kisasa kwani ya gharama nafuu kwa ujenzi wa nyumba za kisasa Matofali yana...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
  • Closed
Kama kuna Civil Engineers kutoka UDSM inbox me ur number fasta....aliyegraduate between 2011 na 2013..... Wahi fasta nafasi ni 4 tu.......
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi mm kijana mwenye stashahada(diploma)ktk fani ya umeme, naomba msaada WA utaratibu WA kufuata kujisajili ktk bodi ya wakandarasi na kuwa na kampuni ktk daraja dogo Fanya...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
SHP wants to employ 50 generalnurses and 10 ICU nurses Scandinavian Health Programs hasorders of 50 nurses and 10 ICU nurses starting the 15th of June thisyear. We also need 25 more nurses mid...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Weighbridge Operator (8 Posts) Apply before: 30 Mar 2014 Company: Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Location > Tanga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau nataka kuandika barua ya maombi kupitia kwa katibu tawala wa wilaya. ombi langu mnisaidie katibu tawala kwa kingereza na tume ya utumishi wa mahakama inaitwaje kwa kingereza, nataka niandike...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Please wadau wale walioishi, kusoma au uzoefu na hizi nchi mbili India and Malaysia naombwa kujuzwa kuhusu vyou vizuri i mean vinavyotambulika kwa course ya udactari wa medicine na cha bei ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Kwa wale wadau nikimaanisha wafanyabiashara, ofisi nunuzi na maafisa kutoka katika taasisi nunuzi (PE). Wakala wa huduma ya ununuzi serikalini (GPSA) imetangaza zabuni kwa mwaka 2014/2015...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani wana jf nawapenda sana na natambua uwepo wenu katika harakati za mapambano dhidi ya matatizo tulionayo watanzania. Binafsi napenda kutoa rai kuwa ajira imekua tatizo kubwa hapa tanzania...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Mwenye hiyo namba apo chini ni tapeli wa kutupwa. Amenitumia sms akinitaka nimtumie 35,000 ili aniunganishe na HR kwaajiri ya kunipatia kazi ya IT officer. Binafsi hata...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Niko mbeya (Mbozi Mission) mwenye kupenda kubadilishana kituo cha kazi katika mikoa hii ya Pwani,Tanga,Morogoro na Arusha basi anicheki kupitia namba hii 0658262637.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau aliyefanikiwa kuona nafasi za kazi zilizotangazwa Jana tarehe 15/3 na gazeti la mwananchi naomba anijuze nafasi ziliotangazwa..!! CLINICAL OFFICER I Qualifications: Holder of Form IV/VI...
1 Reactions
13 Replies
15K Views
Back
Top Bottom