Naomba Kuuliza...

Naomba Kuuliza...

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,013
Reaction score
686
Habar zenu.

Najua kuna aina ya mavazi tunayotakiwa kuvaa siku ya interview kulingana na post yenyewe. Nauliza hivii kama interview hii ya written ya NHIF tuloitwa wote je tunapaswa kuyazingatia?au tunajitupia tu vazi lolote ili mrad tusikiuke maadili?
 
hata ukikiuka hamna noma,kuvaaa kwa maadili cku ya oral,hv hayo majengo yako wap nikitokea ubungo?
 
jitupie tu skin jeans, t shirt, simpo na bling bling hamna noma!
 
Back
Top Bottom