Habari wadau! Hawa jamaa kuna kipindi waliita watu kwenye interview na mim nikiwemo sasa kama kuna mtu anataarifa wamafikia wapi naomba msaada wa taarifa! Asante!
Hapana si mwezi wa saba ni mwezi wa kumi mi ndo nilifanya oral mkuu!
ngoja nicheck then nakupa zenye uhakika
Mshahra huwa ni shilingi ngapi kwa position hiyo (kwenye probation)? Kuna young sis wangu kaitwa there. I'll be very grateful ukiweza kunisaidia hiyo info.