Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Waungwana salama jamani,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa chuo cha maji Rwegalulila pale Ubungo fani yangu ni Electrical Installation ngazi ya Level 2, na mpaka sasa nipo tu kitaa sijapata mchongo wowote ule, ombi langu ni kutaka kupata japo Nafasi ya kuvolunteer/Trainee katika kampuni/ taasisi yoyote ile, nitashukuru kwa msaada mtakaonipatia...aliye tayari ani-PM