Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

https://www.oilandgasjobsearch.com/Oil-and-Gas-Jobs/All-Oil-and-Gas-Jobs/Tanzania
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hawa watu wameshaanza kuitaa watu kwa ajir ya usaili ???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa JF kwa yeyote ambae ameweza kupata gazeti la mwanachi au daily news la leo atusaidie kama hawa jamaa wametoa majina mana walisema leo plz msaada tafadhalin wapendwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nafasi ya kazi Forum Syd Tanzania Visit page facebook.com/forumsydtz Kwa maelezo zaidi tembelea facebook page Forum Syd Tanzania 2014-03-17 Forum Syd is a Swedish democracy and rights...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
A big and famed FMCG company is currently in need of experienced merchandiser! she/he should be little experienced, call me through 0753 199 628 for further info
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Sasa huna shaka tena ya kuhangaika kupata walimu wa biashara kwanii Business professionals tution centre ndo mkombozi wa masomo yako ya biashara kama vile Banking, and finance, Business...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sifa:awe na diploma /degree ya education, anayeitaji peleka maombi,maana cv na barua.shuleni st magreth kimara bunyokwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa jeshi la zimamoto wametoa majina mengine kwa ngazi yq mkaguzi msaidizi na sajini na kituo cha usaili Ukonga!! Je kuna ukweli wowote? Kuna jamaa amesema kaona kwenye gazeti la...
0 Reactions
70 Replies
15K Views
Nahitaji msichana wa kazi za nyumbani. Awe mtanashati na mwaminifu, nitakuwa tayari kumuanzishia mradi wake kama duka/ushoni atakao kuwa anafanya baada ya kumaliza kazi za ndani. Maeneo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka juzi na nmeshasomea Computer mwaka mmoja, kwa ambaye anahitaji Secretarian anitafute 0756525889. ASANTE.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu humu! kwa wale walio apply majina yenu hayo yametoka kwenye magazeti ya leo KUITWA KWENYE USAILI FAIR COMPETITION COMMISSION (FCC) ,MACHI 2014 INVITATION FOR INTERVIEW...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima mbele! Wakuu mnamkumbuka yule mama ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mama mwantumu mahiza na kauli yake alowahi itoa kipindi flan cha nyuma? Kwamba Graduate wale wasio na kazi wakafuge...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
PROGRAMME ANALYST (EVALUATION) Location : Dar es Salaam, TANZANIA Application Deadline : 02-Apr-14 Type of Contract : FTA Local Post Level ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, hao jamaa tajwa hapo wanafanya nini hasa? Ofisi zao zipo Mikocheni Dar. Kwa wenye ujuzi tafadhali
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tanzania graduate association kitafanya kikao cha pili tarehe 25/01/2014, siku ya jmosi hii pale nakiete phamancy- mwenge (dsm), muda ni saa 2:30 asubuhi. Miongoni mwa mada ni juu kuunda saccos...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1 Lab assistant na pharmaceutical assistant wanahitajika kwenye hospitali moja Dodoma. Pm me for details
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Kwa yeyote anaetafuta tingo au kondakita please nifahamisheni ni mimi yule yule polax kwakuwa mmeshindwa hata kunipa kazi yeyote basi nipeni hata izo hapo call me anytime u want 0685816103 wote ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WADAU MSAADA KWENU, MDOGO WANGU KAPATA HUU UJUMBE KWENYE E-MAIL YAKE LEO HII NAMI AKANIFOWARDIA - NI MWL PALE BENJAMINI MKAPA, ALIOOMBA HII KAZI KUPITIA ZOOM JE TUKILIPA HIZI HELA KWELI WATATUMA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tupeane updates
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom